Aug 22, 2023
Neno La Mwisho
Ramadhan Makoleko Kwako mwanangu mpenzi; Natumaini uko salama! Mwanangu, nilitamani siku moja nikuone ili angalau nikusimulie kuhusu mambo ya ulimwengu ambayo mimi nilipata kuyaona. Nikusimulie kuhusu vita vilivyowahi kupiganwa na mashujaa; nikusimulie juu