Adizanpublishers

Ramadhan Makoleko M

Kaa la moto

Kaa la moto Upande wa kushoto alisimama mwanamke mmoja mwenye kimo kirefu na rangi ya ngozi yake ni nyeusi tii! Mbele yake alisimama mwanaume naye akiwa na kimo kirefu na hata rangi ya

Neno La Mwisho

Ramadhan Makoleko Kwako mwanangu mpenzi; Natumaini uko salama! Mwanangu, nilitamani siku moja nikuone ili angalau nikusimulie kuhusu mambo ya ulimwengu ambayo mimi nilipata kuyaona. Nikusimulie kuhusu vita vilivyowahi kupiganwa na mashujaa; nikusimulie juu

DOKTA KOKU

DOKTA KOKU Edwin Rutinwa, kijana wa miaka kumi na mitano, aliondoka kwa hatua za polepole kwenye stendi ya mabasi ya Bukoba Mjini muda mfupi tu baada ya kuwasili akitokea Ngara. Kichwani alikuwa na