Adizanpublishers

Jul 22, 2023

Nilikufa Kitambo

NILIKUFA KITAMBO Juu ya kitanda alilala mgonjwa ambaye kwa miezi saba sasa hajapata ashekali. Alizingirwa na walokole wakimuasaa Mterehemezi amwonee kite amwepushe na mauti. Mgonjwa wa jana, leo halikuwa si mgonjwa tena anakaribiaRead More