Emmanuel Kimeu

ANCIENT POTRAIT

ANCIENT POTRAIT On the balcony stood Haji with lots of gratification and delight. Before his eyes was the view of the great Mzee Mwinyi’s mansion. To him, calling such a house a mansion

Kipenzi Shetani

Leo hii kwa akina Aisha Ramadhan kulikuwa kumefurika hadi pomoni. Shangwe, nderemo na vifijo vilisikika hewani. Ilikwa siku kuu kwa Aisha na familia yake. Watoto wa uswahilini walikuwa wana imani kuwa leo watabeba

Nilikufa Kitambo

NILIKUFA KITAMBO Juu ya kitanda alilala mgonjwa ambaye kwa miezi saba sasa hajapata ashekali. Alizingirwa na walokole wakimuasaa Mterehemezi amwonee kite amwepushe na mauti. Mgonjwa wa jana, leo halikuwa si mgonjwa tena anakaribia