Oct 4, 2023

ANCIENT POTRAIT

ANCIENT POTRAIT On the balcony stood Haji with lots of gratification and delight. Before his eyes was the view of the great Mzee Mwinyi’s mansion. To him, calling such a house a mansionRead More

Oct 4, 2023

Kaa la moto

Kaa la moto Upande wa kushoto alisimama mwanamke mmoja mwenye kimo kirefu na rangi ya ngozi yake ni nyeusi tii! Mbele yake alisimama mwanaume naye akiwa na kimo kirefu na hata rangi yaRead More

Aug 22, 2023

Neno La Mwisho

Ramadhan Makoleko Kwako mwanangu mpenzi; Natumaini uko salama! Mwanangu, nilitamani siku moja nikuone ili angalau nikusimulie kuhusu mambo ya ulimwengu ambayo mimi nilipata kuyaona. Nikusimulie kuhusu vita vilivyowahi kupiganwa na mashujaa; nikusimulie juuRead More

Aug 1, 2023

Kipenzi Shetani

Leo hii kwa akina Aisha Ramadhan kulikuwa kumefurika hadi pomoni. Shangwe, nderemo na vifijo vilisikika hewani. Ilikwa siku kuu kwa Aisha na familia yake. Watoto wa uswahilini walikuwa wana imani kuwa leo watabebaRead More

Jul 28, 2023

DOKTA KOKU

DOKTA KOKU Edwin Rutinwa, kijana wa miaka kumi na mitano, aliondoka kwa hatua za polepole kwenye stendi ya mabasi ya Bukoba Mjini muda mfupi tu baada ya kuwasili akitokea Ngara. Kichwani alikuwa naRead More